KARIBUNI SA

Friday, March 19, 2010

UJASIRIAMALI KATIKA NIDO ZA JUISI


Katika ulimwengu huu wa sasa, watu wanajaribu kuwa wabunifu katika swala zima la ujasiriamali hasa kwa sababu ya ushindani wa kibiashara. huku kwetu ulaya wadada wameamua kubuni biashara ya nido za juisi ambapo mtu unanua nido moja ya juisi kwa thamani ya US dollar 10. picha hapo juu inaonyesha jinsi huduma hii inavyotolewa hasa mijini na kupata wateja wengi sana.

2 comments:

  1. haha ....this is good business!!! Itabidi tuianzishe Tanzania!!!

    ReplyDelete
  2. hahaha.... nafikiri ni changamoto ambayo tunayo kawa sasa huku bongo. ila maadili nayo tofauti na ulaya

    ReplyDelete