inaadhimishwa na wakristo duniani kote ambako tunaamini kwamba Yesu kristo alikufa msalabani na siku ya tatu akafufuka. hii yote ni upendo wa Mungu Baba kwa ajili ya wanadamu. Sasa sikukuu hii tunajifunza somo la upendo ambao tunapaswa kujumuika pamoja katika sikuku hii ili tusherekee kufufuka kwa BWANA WETU YESU KRISTO. sikuku njemaaaaaa
No comments:
Post a Comment