KARIBUNI SA

Thursday, January 6, 2011

Maandamano ya CHADEMA yazuiliwa Arusha


Baadhi ya maeneo ya katikati ya Jiji la Arusha palikuwa hapatoshi.
Habari zaidi zinadai kwamba watu kadhaa walijeruhiwa katika vurugu zilitokea katika maandamano hayo.Pia imeelezwa kwamba Viongozi wa juu wa Chama cha Chadema akiwemo mwenyekiti,Freeman Mbowe, Katibu mkuu,Dr Wilbroad Slaa, Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Mh Lema na Mbunge wa Moshi mjini,Mzee Ndesamburo wanashikiliwa na Jeshi la polisi kwa madai wao ndio chanzo cha kutokea kwa vurugu hizo za leo.

wafuasi wa Chadema wakionyesha bango kwamba maandamano ni ya amani.

Mtaa wa Jiji la Arusha ulivyofulika na wafuasi wa CHADEMA ukiwa umezuliwa na polisi

Viongozi wa Chadema katika maandamano leo kabla ya kutawanywa na polisi na wengine kutiwa mbaroni

No comments:

Post a Comment