KARIBUNI SA

Saturday, April 30, 2011

HARUSI YA KIFALME NA PRINCE WILLIAM


Prince William (kushoto) na Catherine, wakitazamana mara baada ya harusi yao iliyofanyika jana, katika Kanisa la Westminster, katikati ya Jiji la London, Uingereza.

Mama wa bibi harusi, Carole Middleton akiwasili katika Kanisa la Westminster kwa ajili ya harusi.

Ndani ya kanisa la west minister, london


David Beckham na mkewe Victoria 'Posh' wakiwasili harusini hapo.

Watu wakifuatilia kwenye runinga tukio hilo la aina yake huko Hollywood, California.
Picha zote kwa hisani ya AFP/Getty Images